Social Icons

Thursday, April 25, 2013

Tangazo.


Je,


• Unataka kumiliki biashara au kampuni yako mwenyewe na hujui unaanzaje?


• Unataka uwe unaweka hesabu za biashara yako katika namna inayoeleweka?

• Unapata shida katika masuala yahusuyo sheria za makampuni?

• Hujui kama biashara yako imekua au la?

• Huna msaada wa kupata mtu atakayekusaidia katika kufunga mahesabu ya mwezi au mwaka?

UMUGULUGU FINANCIAL CONSULTANCY & SUPPLIES ni mkombozi wako katika kutatua hayo, tena tunayatatua kwa bei nafuu kabisa.

Njoo tufanye kazi pamoja kwa manufaa yako ya sasa na hata ya baadae ya biashara au kampuni yako.

KARIBU SANA.